Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi
wenzie leo kabla ya kuanza kwa mkutano wa utiaji saini makubaliano ya
kukiunganisha upya chama cha SPLM cha Sudani Kusini katika hoteli ya Ngurdoto
jijini Arusha. Kutoka kushoto ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal,, Naibu
Rais wa Afrika Kusini, Mhe Cyril Ramaphosa, Rais Yoweri Museveni wa Uganda, Rais
Kikwete, Rais Salva Mayardit Kiir, wa Sudani ya Kusini, Rais Uhuru Kenyatta wa
Kenya na Makamu wa Rais wa Zamani wa Sudani ya Kusini Dkt Riek Machar,
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais
Uhuru Kenyatta wa Kenya leo kabla ya kuanza kwa mkutano wa utiaji
saini makubaliano ya kukiunganisha upya chama
cha SPLM cha Sudani Kusini katika hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais
Yoweri Museveni leo kabla ya kuanza kwa mkutano wa utiaji saini
makubaliano ya kukiunganisha upya chama cha
SPLM cha Sudani Kusini katika hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na
mjane wa Mwenyekiti wa Zamani wa SPLM Mama Rebecca Nyandeng Garang de Mabior leo
Jumatano kabla ya kuanza kwa mkutano wa utiaji saini makubaliano ya
kukiunganisha upya chama cha SPLM cha Sudani Kusini katika hoteli ya Ngurdoto
jijini Arusha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi
wenzie leo kabla ya kuanza kwa mkutano wa utiaji saini makubaliano ya
kukiunganisha upya chama cha SPLM cha Sudani Kusini katika hoteli ya Ngurdoto
jijini Arusha. Kutoka kushoto ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal,, Naibu
Rais wa Afrika Kusini, Mhe Cyril Ramaphosa, Rais Yoweri Museveni wa Uganda, Rais
Kikwete, Rais Salva Mayardit Kiir, wa Sudani ya Kusini, Rais Uhuru Kenyatta wa
Kenya na Makamu wa Rais wa Zamani wa Sudani ya Kusini Dkt Riek Machar. PICHA NA
IKULU

No comments:
Post a Comment