Jack Wolper na Kajala
Mrembo na mwigizaji anayefanya vizuri kunako
soko la filamu za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’ ameweka wazi kuwa yuko tayari
kugharamia sherehe ya harusi ya Manaiki Sanga na Jacqueline Wolper Massawe kama
mambo yataenda sawa.

No comments:
Post a Comment