JOKATE ACHEKELEA KUMBWAGA LULU


Na Hamida Hassan/Amani
MWANAMITINDO na dairekta wa lebo ya Kidoti, Jokate Mwegelo amekuwa tishio kwa msanii wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwa urembo na muonekano katika picha zinazoonekana mitandaoni nchini.
Mwanamitindo na dairekta wa lebo ya Kidoti, Jokate Mwegelo.
Mtandao mmoja wa hapa nchini umeendesha zoezi la kuweka picha zao kali zinazowaonesha wote wawili wakiwa na muonekano na picha kali huku wakiuliza nani zaidi ya mwenzake.Jokate ameibuka mshindi kwa…

No comments:

Post a Comment