WOLPER: BORA NIWE FUNDI NGUO


Shani Ramadhani Na Mayasa Mariwata/Amani

STAA wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper Masawe ‘Wolper’ ameamua kuanika ukweli kuwa sasa hivi anataka kuwa fundi wa kushona nguo ili kuepukana na ‘masnichi’ waliopo kwenye tasnia ya uigizaji.
Staa wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper Masawe ‘Wolper’ akipozi.
Akizungumza na Amani, Wolper alisema ameamua kujikita huko kwa sababu ameona Bongo Movie hakuna maendeleo zaidi ya umbeya na hata soko la filamu linazidi kushuka.“Mimi ni msanii wa…

No comments:

Post a Comment