MREMBO: NIMESALI BILA NGUO FREEMASON


Stori: Chande Abdallah, Mayasa Mariwata na Shani Ramadhani/Amani

INATOSHA! Mrembo, Happiness Wilfred Nassari (27), ameibuka na kudai kuwa amekuwa akisali bila nguo kwenye ibada ya imani ya Freemason inayosifika kwa ushirikina.
Mrembo, Happiness Wilfred Nassari (27) anayedai kushiriki imani ya kifreemason.
Katika mahojiano yaliyofanyika hivi karibuni ndani ya chumba cha habari, makao makuu ya gazeti hili Bamaga, Mwenge…

No comments:

Post a Comment