MUME, MCHEPUKO WAGOMBEA MTOTO


Stori: Dustan Shekidele, Morogoro

Makubwa! Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mke wa mtu aliyekuwa akiishi ukweni na mumewe wa ndoa, Bahati Ramadhani, amenusurika kuuawa na ndugu wa mumewe wakiwemo mawifi na wakwe zake baada ya kudaiwa kumgonganisha mumewe na mchepuko wake na kujikuta wakigombea mtoto.
Mwanamke, Bahati Ramadhani anayeidaiwa kumgonganisha mumewe na mchepuko.
Tukio hilo la kushangaza lililojaza kadamnasi lilijiri nyumbani kwa wakwe hao, Mtaa wa Mawenzi…

No comments:

Post a Comment