WEMA, ZARI JIONGEZE MWENYEWE!

Staa wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ akipozi.
Kumekuwa na maneno mengi juu ya nani mzuri kati ya staa wa Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari’ au ‘The Boss Lady’ na Wema Isaac Sepetu ‘Madam’. Wema ametembea na Diamond na sasa Zari anadaiwa kuchukua uskani. Ijumaa Wikienda limechukua jukumu la kumaliza ubishi ambapo lilibandika swali hilo kwenye mitandao ya kijamii ya Instagram, Facebook na Twitter. Maelfu ya mashabiki wao walipata nafasi ya kutoa ya moyoni. Majibu yaliyopatikana pima mwenyewe, ujiongeze.
Paul Kwere: Madam yupo juu.

Sulaiman Bongoland: Wote mama…(tusi).

Hafidh Abdul: Mkali mke wangu tu, tupilia mbali hao.

Saleh Hamis: Tafuta mtu wa kumfananisha na Wema…

No comments:

Post a Comment