MWIMBA INJILI ATEKWA AKISAMBAZA ALBAMU YAKE


Na Mwandishi Wetu/Uwazi

MWIMBA Injili anayekuja kwa kasi Bongo, Elizabeth Ngaiza, Jumamosi iliyopita alijikuta katika wakati mgumu kufuatia watu wasiojulikana kumuweka chini ya ulinzi kwa dakika kadhaa wakitaka awape pesa ndani ya gari aina ya Toyota Vitz (pichani juu).
Mwimba Injili anayekuja kwa kasi Bongo, Elizabeth Ngaiza.
Kwa mujibu wa Elizabeth mwenyewe, tukio hilo lilijiri Babarara ya Kilwa, Dar maeneo ya Mivinjeni akitokea Temeke kwenda Posta Mpya kusambaza albamu yake iitwayo Sema Nao Bwana.

“Nilipofika maeneo ya Mivinjeni majira ya mchana, nikasimamishwa na watu waliokuwa wamesimama pembeni ya barabara, nikajua wananifahamu maana mimi…

No comments:

Post a Comment