POLISI WATUMIA MABOMU YA MACHOZI KUTAWANYA MAANDAMANO YA WANAFUNZI
Wanafunzi
wakikimbia hovyo baada ya mabomu ya machozi kupigwa.
Wanafunzi
wakisukuma uzio wa shule la uwanja.
Mmoja
wa polisi aliyejeruhiwa katika vurugu za leo.
Wanafunzi
na baadhi ya wanaharakati wakiwanyooshea fimbo wanausalama waliokuja kuzuia
vurugu hizo.
JESHI la polisi nchini Kenya limelazimika kutumia
mabomu ya machozi kuwatawanya wanafunzi wa Shule ya Msingi Lang'ata iliyopo
jijini Nairobi walioandamana kupinga kitendo cha kunyanganywa uwanja wao wa
michezo uliouzwa kwa mwekezaji binafsi.
No comments:
Post a Comment