ODAMA: NDOA HAITANIFANYA NIACHE FILAMU


Na Laurent Samatta

MCHEZA filamu za Kibongo Jennifer Kyaka ‘Odama’, amedai kuwa mwanaume ambaye anaweza kumuoa jambo la kwanza lazima atambue kuwa yeye anafanya filamu kwa muda mrefu hivyo hawezi kuacha kazi yake kwa sababu ya kuingia kwenye ndoa.
Mcheza filamu za Kibongo Jennifer Kyaka ‘Odama’.
Odama alifungua kinywa chake baada ya kuzungumza na paparazi wetu,…

No comments:

Post a Comment