BAADA ya kuwakosesha amani wakazi wa Jiji la Dar es Salaam usiku wa Ijumaa iliyopita, lile kundi la vijana wahalifu linalojulikana kwa jina la Panya Road limefikia ukingoni baada ya kudhibitiwa kwa kasi kubwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Amani linakupa ‘full stori’.
Kundi hilo liliibuka majira ya saa moja jioni ya Ijumaa iliyopita na kufanya vurugu katika…
No comments:
Post a Comment