STEVE NYERERE AMGANDA MAMA LULU KIFUANI


Na Gabriel Ng’osha/Ijumaa

Aliye kuwa Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steven Nyerere hivi karibuni aliibua miguno baada ya kumganda kifuani mama wa msanii Elizabeth Michael, Lucresia Karugila huku akionekana kutotaka kubanduka mwilini mwa mama huyo.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steven Nyerere akimbambia mama wa msanii Elizabeth Michael, Lucresia Karugila.
Tukio hilo lililowafanya watu wabaki wakiwa wamepigwa butwaa, lilijiri ndani ya Hoteli ya Landmark jijini Dar kulikokuwa na uzinduzi wa kitabu cha…

No comments:

Post a Comment