MUME WANGU SIKUMUIBA KWA RAFIKI YANGU- VANITHA


Wiki hii kupitia safu hii tunaye staa wa filamu za Kibongo Vanitha Omary. Amebanwa maswali mengi na mwandishi wetu Hamida Hassan lakini kutokana na jina la kolamu hii, tunakuletea maswali 10 ‘hot’ aliyoulizwa na yeye kutoa ushirikiano katika kuyajibu licha ya kwamba aliachwa kijasho chembamba kikimtoka.
Staa wa filamu za Kibongo Vanitha Omary.
Ijumaa: Kuna hizi tetesi kwamba huyu mume wako wa sasa alikuwa ni mpenzi wa rafiki yako Joan Matovolwa lakini wewe ukampora na mkaishia kuoana, hili unalizungumziaje? Vanitha: (Kicheko) Ukweli…

No comments:

Post a Comment