AMANDA AGOMA KUMUANIKA BWANA KISA KUIBIWA


Na Chande Abdallah/Ijumaa

Msanii wa filamu Bongo, Tamrina Posh ‘Amanda’ amefunguka kuwa anaogopa kumtambulisha bwana wake wa sasa kwa kile alichodai kuwa anaogopa kuibiwa.
Msanii wa filamu Bongo, Tamrina Posh ‘Amanda’.
Akizu ngumza na paparazi wetu juzikati, Amanda alisema ameishi kwa muda mrefu na mpenzi wake bila kuhitilafiana kwa sababu wengi hawamjui, lakini anahofia akimuanika wasichana wataanza kumfuatafuata na kumwiba.
“Kumtambulisha bwana wangu wa sasa sitaki, naogopa wadada wa mjini hawakawii…

No comments:

Post a Comment