Muonekano wa sasa katika hatua za awali za
ujenzi wa barabara ya Mbezi mwisho-Goba-Tangibovu eneo la Goba
Uwekaji wa jiwe la msingi kuzindua rasmi ujenzi wa
barabara ya Mbezi mwisho-Goba-Tangi Bovu
Uwekaji wa jiwe la msingi kuzindua rasmi ujenzi wa
barabara ya External –Kilungule
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika
akizungumza na Waziri wa Ujenzi, Dkt. Pombe Magufuli
Babaraba zilizowekewa mawe ya msingi
ni pamoja na ile ya Kinyerezi-Kifuru hadi Mbezi Mwisho yenye urefu wa kilometa
14.0, Kigogo-Tabata Dampo yenye urefu wa kilometa 1.6 na Kimara Baruti-Msewe
hadi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam yenye urefu wa kilomita 2.6
Barabara
nyingine ni ile ya External-Kilungure hadi Kimara Korogwe kilometa 8.0, Wazo
Hill-Goba hadi Mbezi Mwisho kilometa 20 na Goba-Tangi bovu kilometa 9.0
No comments:
Post a Comment