Taharifa ya Msiba wa kaka yetu Frank Mushi

KWA HABARI ZA KUSIKITISHA, KAKA YETU FRANK MUSHI MTOTO WA MAREHEMU PETER MSANDO MUSHI AMEFARIKI DUNIA GHAFULA HUKO KATIKA HOSPITAL YA MUHIMBILI. MWILI UTAAGWA JUMATATU TAREHE 2. ( 2/1/15) KATIKA HOSPITAL YA MUHIMBILI. MAZISHI YATAKUWA JUMANNE MASOKA KIBOSHO. UNAWEZA KUWASILIANA NA RICHARD MUSHI AU CONDRAD MUSHI. REST IN PEACE FRANK MUSHI

          Displaying IMG-20150130-WA001.jpg
                                                    Marehemu Frank Mushi

No comments:

Post a Comment