‘WEMA ANIACHIE BOB JUNIOR WANGU'


Stori: Hamida Hassan na Mayasa Mariwata/Ijumaa Wikienda

Jambo limezua jambo! Siku chache baada ya kuripotiwa kwa tukio la staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu kunaswa kimalovee na Rais wa Masharobaro, Raheem Rummy Nanji ‘Bob Junior’, mwigizaji chipukizi, Bozi ameibuka na kudai ‘Wema niachie Bob Junior wangu’.
Mwigizaji chipukizi katika tasnia ya filamu Bongo, 'Bozi' akihuzunika.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, mara baada ya habari hiyo kuruka hewani kupitia gazeti tumbo moja na hili,…

No comments:

Post a Comment