UPEPO ulichafuka! Katika hali ya taharuki, msanii ambaye pia ni msambazaji wa kazi za wasanii, William Mtitu amenusurika kipigo wakati wa kikao cha wasambazaji kujadili bei ya CD za kazi za wasanii. Kikao hicho kilifanyika wiki iliyopita katika Ukumbi wa Habari Maelezo, Posta jijini Dar kufuatia kampuni ya usambazaji ya Steps Entertainment kutangaza kuuza CD kwa shilingi 1,000 badala ya 3,500 ya awali kwa kigezo cha kukwepa maharamia.
Msanii ambaye pia ni msambazaji wa kazi za…
No comments:
Post a Comment