AUNT AWAPATANISHA WEMA, WIFI YAKE


Na Imelda Mtema

Msanii wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amefanya kazi ya ziada kuhakikisha shoga yake, Wema Sepetu na mdogo wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ ambaye ni mke wa Petit Man, Esma Khan wanapatana.
Wema Sepetu na mdogo wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ ambaye ni mke wa Petit Man, Esma Khan.
Chanzo chetu kilichokaribu na mastaa hao kilieleza kuwa, awali Wema na Esma walikuwa hawaivi lakini juzi Aunt aliwakalisha na kuwataka wamalize tofauti zao ambapo kila mmoja aliona ni heri iwe…

No comments:

Post a Comment