HUSSEIN MACHOZI ANASWA NA MCHEPUKO WA KIZUNGU




Na Musa Mateja

Baada ya mwanamuziki Hussein Machozi kudaiwa kumtelekeza mkewe aliyemuoa nchini Kenya, hivi karibuni picha yake imenaswa akiwa kimahaba na mchepuko wa Kizungu.
Mwanamuziki Hussein Machozi akiwa kimahaba na mchepuko wa Kizungu.
Picha hiyo inamuonesha Hussein akiwa kifua wazi huku mwanamke huyo akimchezea kifua sambamba na kumng’atang’ata shingoni na Ijumaa liliipata kupitia kwa rafiki wa msanii huyo aliyeomba asitajwe.

“Huyo Mzungu ndiye anatoka na Hussein kwa sasa ila zaidi mtafutani…

No comments:

Post a Comment