DAVINA AMUONEA WIVU LULU


Stori: Mayasa Mariwata/Ijumaa Wikienda

MSANII wa filamu Bongo, Halima Yahaya ‘Davina’ amejikuta akimuonea wivu msanii mwenzike, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kutokana na kuwa chini ya uangalizi wa meneja na kulipwa pato kubwa kwenye filamu.
Msanii wa filamu Bongo, Halima Yahaya ‘Davina’.
Akipiga stori na paparazi wetu kuhusiana na ishu ya msanii huyo ambaye ni mdogo zaidi yake, kufikia hatua ya kulipwa shilingi milioni kumi na tano kwa filamu moja, ni…

No comments:

Post a Comment