DAVINA: SITASAHAU MATESO YA SEGEREA

Na Laurent Samatta/Uwazi

NGULI wa filamu za Kibongo, Davina Yahaya ‘Davina’, amesema kamwe hatokuja kusahau mateso aliyowahi kuyapata akiwa Gereza la Segerea ambapo alikaa kwa siku tatu.
Nguli wa filamu za Kibongo, Davina Yahaya ‘Davina’.
Akipiga stori na Uwazi, Davina alisema tukio hilo lilitokea mwishoni mwa mwaka 2012 ambapo ilikuwa ni tatizo la kifamilia lililosababisha kutupiwa huko japokuwa hakuweza kuliweka hadharani kwakuwa bado lipo mikononi mwa sheria.
“Huwa natokwa machozi na kamwe…

No comments:

Post a Comment