KOLETHA KILIO BAADA YA KUKOMBWA KILA KITU NA WEZI



Stori : Deogratius Mongela /Uwazi

MUIGIZAJI wa filamu Bongo, Koletha Raymond ‘Coletha’ amejikuta akiwa hana kitu baada ya kukombwa shilingi milioni moja na nusu, nguo zake zaidi ya ishirini na vifaa vya kuchukulia video wakati wakiwa lokesheni maeneo ya Mtoni Kijichi, jijini Dar.
Coletha Raymond ‘Koleta’.
Akizungumza na Uwazi, Coletha alisema aliitwa lokesheni kucheza filamu ya Mkono wa Kushoto ambapo alikuwa tayari ameshapewa pesa ya…

No comments:

Post a Comment