NDOA iliyodumu kwa miaka miwili na nusu kati ya mwigizaji wa filamu Jacqueline Pentzel na Gadna Dibibi imevunjika, Ijumaa lina mkanda kamili.
Kwa mujibu wa chanzo makini, wawili hao waliachana baada ya kutuhumiana kutoka nje ya ndoa yao, jambo ambalo baada ya kuvumiliana kwa muda mrefu, hatimaye wameamua kubwaga manyanga.
Inadaiwa kwamba kwa zaidi ya miezi miwili iliyopita, mume alikuwa ameshahama nyumbani kwao Mbezi kwa…
No comments:
Post a Comment