Mtangazaji aliyewahi kuwa mpenzi wa mwanamuziki Nasibu Abdul, ‘Diamond’, Penniel Mungilwa ‘Penny’ ameibuka na kusema kuwa anashukuru amepata mchumba ila suala la ndoa siyo la leo wala kesho.
Akipiga stori na Ijumaa juzikati, Penny alisema wengi wamekuwa wakitaka kusikia suala la yeye kuolewa baada ya kubainika ana mchumba lakini mwenyewe anasema hajafikiria hilo la kuitwa mke kwa…
No comments:
Post a Comment