Kama ni mfatiliaji wa kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds Tv, utakuwa
umekutana na interview ya T.I.D a.k.a Myama a.k.a Mzee Warioba akijibu swali la
mtangazaji wa kipindi hicho “Casto Dickson” lililohusu sababu kubwa ya kuvunjika
kwa Top Band,ambapo kwa TID alisema Q Chilla alikuwa na tamaa.
No comments:
Post a Comment