MAKAHABA WA INDIA WAMWAGA CHOZI AIR PORT


Stori: Waandishi Wetu/Amani

MABINTI 22 wa Kihindi na Kinepal walioingizwa nchini kufanya biashara ya kuuza miili, wamenaswa wakimwaga machozi hadharani kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar wakisikitikia kuwakosa wateja wao Wabongo ambao inadaiwa walikuwa wakiwalipa vizuri.

Makahaba hao wakijiandaa kwa ajili ya safari ya kurudi India.
Mabinti hao waliingizwa nchini kati ya Mei na Desemba, mwaka jana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Dhamaka Entertainment Center Limited,…

No comments:

Post a Comment