Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Kazi
na ajira Mh.Gaudensia Kabaka(watano kushoto) Mkurugenzi Mkuu wa NSSF
Dkt.Ramadhani Dau(wapili kulia), Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas
Gama(wapili kushoto) pamoja na viongozi na wadau wengine wakikata utepe kufungua
rasmi jengo la kitega uchumi la NSSF Kilimanjaro Commercial Complex mjini
Moshi,Mkoani Kilimanjaro leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Mkurugenzi
Mkuu wa NSSF Dkt.Ramadhan Dau pamoja na wadau wengine wakitazama ramani ya jengo
jipya la kitega uchumi la NSSF mjini Moshi Kilimanjaro Commercial Complex wakati
wa hafla ya ufunguzi leo
No comments:
Post a Comment