Hizi ni
baadhi ya picha kutoka kwenye pati iliyoandaliwa na Zari na Huddah [Boss Lady wa
Uganda na Kenya]. Pati ilifanyika kwenye mgahawa wa Art Of Luxury #Skylux Lounge
iliyopo Kenya. Watonyaji wali ng'atana sikio kuhusu mchumba wa Zari kutoka
Tanzania mbona akuonekana pembeni na vipi mbona kimbwida cha Zari akionekani
hewani kama mkungu wa ndizi au mambo ya Project hadi tumboni?. Jitiririshe na
picha za warembo hao hapa chini na ufunge mdomo kimya kimya.
No comments:
Post a Comment