HISTORIA YA MAISHA YA KING DIAMOND PLUTNUMZ NA DJ WAKE ROME JONES

Na Musa Mateja
Kwa sasa tunapozungumzia mastaa wa muziki wanaofanya vizuri hapa Bongo, jina la Nasibu Abdul ‘Diamond’ lazima litachukua nafasi ya kwanza kisha wengine watafuata. Ni kijana anayejituma sana na jitihada zake hizo zimemfanya awe maarufu barani Afrika.

No comments:

Post a Comment