KOSEA KUCHAGUA KILA KITU, LAKINI SIYO MWENZA-2


Karibu mpenzi msomaji wangu katika safu hii ya mapenzi na maisha. Wiki iliyopita niliishia pale niliposema kwamba, ni dhahiri kwamba, katika uhusiano kila mmoja aliyemkubali mwenzake aliamua kutoka moyoni kwamba ndiye chaguo lake.
Nilisema kwamba, wengi walidiriki kugombana na ndugu zao, marafiki au hata kukejeliwa na jamii kwa sababu ya kuwa na uhusiano na mtu f’lani lakini kwa vile waliona ndiyo chaguo waliamua liwalo na liwe.

Watu wa kundi hili, inapotokea kuumizwa kimapenzi hulia sana kuliko mtu aliyefiwa. Kilio kikubwa kinatokana na kumbukumbu za kuonywa, kupoteza vitu au kuharibu uhusiano ili ampate ampendaye ambaye…

No comments:

Post a Comment