BONDIA FRANCIS CHEKA AACHIWA, KUTUMIKIA KIFUNGO CHA NJE


BONDIA nyota wa ngumi za kulipwa nchini, Francis Cheka aliyehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela pamoja na faini ya shilingi milioni moja, hapo Februari 2 mwaka huu mjini Morogoro, amebadilishiwa adhabu hiyo na badala yake atatumikia kifungo cha nje.
Cheka alihukumiwa kwa kosa la kumpiga na kumsababishia maumivu makali, meneja wa baa yake ya Vijana Social Hall iliyopo mjini Morogoro, aitwaye Bahati Kibanda, hapo Julai 2 mwaka jana katika eneo la Sabasaba.…

No comments:

Post a Comment