LUNGI ADAIWA KUTUPIWA JINI, APOOZA


Hamida Hassan

NYOTA wa filamu za Kibongo Lungi Maulanga hivi karibuni anadaiwa kutupiwa jini na wabaya wake wakiwemo wanafamilia yake kitendo kilichosababisha apooze upande mmoja wa mwili wake.

Nyota wa filamu za Kibongo Lungi Maulanga.
Chanzo makini kinasema hofu yao kubwa ni kuwa kitendo hicho kilifanywa na baadhi ya ndugu zake kufuatia tofauti zao za kifamilia zilizosababisha kufikishana mahakamani.
“Katika shauri hilo mahakamani, yeye alishinda, sasa baada ya siku mbili akaanguka na kupoteza fahamu,…

No comments:

Post a Comment