OPARESHENI Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers inaendelea! Wiki hii
ilifanya kazi nyingine nzito, kumnasa Pastor John Paul Simon Rubanguka wa kanisa
la kiroho la Maximum Deliverance lililopo Masaki, Dar ambaye alinaswa akichezewa
utupu na wanawake watatu ambao ni kama waumini wake kwa sababu wote ni
Wakristo.
Pasta John Paul Simon Rubanguka wa kanisa la kiroho la Maximum Deliverance
lililopo Masaki, Dar baada ya kunaswa na wanawake watatu wakimchezea
utupu.
OFM YATONYWA UCHAFU WA PASTOR
No comments:
Post a Comment