Rais Dilma Roussef wa Brazil
Zaidi ya watu milioni moja kutoka nchini Brazil
wameandamana dhidi ya rais wa nchi hiyo Dilma Rousseff, huku wengi wao wakitaka
rais huyo afunguliwe mashtaka ya ufisadi mkubwa uliofanyika katika shirika la
mafuta la serikali, Petrobras.
No comments:
Post a Comment