MASOGANGE ASHTUSHWA NA USHINDI WA MAKALIO YAKE


Imelda Mtema

MODO maarufu Bongo, Agness Gerad ‘Masogange’ ameshtushwa na ushindi wa makalio yake baada ya kutojua kama ametajwa kuwa ni mwanamke mwenye makalio mazuri Afrika Mashariki.
Modo maarufu Bongo, Agness Gerad ‘Masogange’.
Masogange alishinda nafasi hiyo kupitia utafiti uliofanywa na mtandao wa Media Take Out ambapo kwa kutumia vigezo vyao, walimwanika Masogange kuwa ndiye mwanamke pekee mwenye makalio bomba wakidai amejengeka vizuri zaidi.

“Daah! Mimi mwenyewe nilikuwa sijui, nashukuru kama…

No comments:

Post a Comment