TID JELA YAMUITA BAADA YA KUHUSISHWA NA MSALA MWINGINE


ISSA MNALLY/Amani11

HAJAKOMA? Staa wa Bongo Fleva anayesumbua na wimbo wa Chumvini, Khaleed Mohamed ‘TID’ amehusishwa na msala mwingine baada ya kudaiwa ku kumjeruhi James Richard, mkazi wa Jiji la Dar.
Staa wa Bongo Fleva anayesumbua na wimbo wa Chumvini, Khaleed Mohamed ‘TID’.
Endapo itathibitika kama ni kweli ametenda kosa hilo, TID atakuwa yupo katika hatari ya kuswekwa gerezani kwa mara ya pili kwani mwaka 2008 alitiwa hatiani kwa kosa la kumpiga Ben Mashibe, mkazi wa jijini Dar ambapo alifungwa jela mwaka…

No comments:

Post a Comment