MADAKTARI WAMTAHADHARISHA KIM KARDASHIAN KUPUNGUZA KUFANYA MAPENZI


Kim Kardashian.
MADAKTARI wamemuonya mwanadada Kim Kardashian kuacha tabia yake ya kufanya mapenzi mara nyingi kwa kuwa ni hatari kwa afya yake.
Kanye na mkewe Kim.
Mrembo huyo ambaye ni mke wa mwanamuziki Kanye West alikiri katika sehemu ya 10 ya kipindi chao cha familia kinachoruka runingani kuwa yeye na mumewe wanafanya mapenzi mara 15 kwa siku wakijaribu kupata mtoto mwingine.
Wanandoa hao tayari wana mtoto mwenye miezi 20 aitwaye North West na sasa wanataka kupata mdogo wake.…

No comments:

Post a Comment