WENYE MADUKA SINZA WACHANGIA MIFEREJI KUZIBA


Barabara ya Shekilango maeneo ya Sinza ilivyo na sehemu zilizowekewa zege kwenye mitaro ili kupitisha magari na wateja.
Mfereji uliokwamisha maji baada ya kujaa taka.
WAFANYABIASHA katika maduka barabara ya Shekilango, jijini Dar es Salaam, wanasemekana kukwamisha mifereji ya uchafu kwa kujenga njia za zege ili kuwezesha kupitisha kwa urahisi magari yao na wateja. Mifereji hiyo hushindwa kufanya kazi kutokana na taka ambazo hunaswa chini ya ‘vivuko’ hivyo.
Tukio hilo limethibitishwa na kamera yetu ambapo kitendo hicho kinaonekana…

No comments:

Post a Comment