MAMA Fanueliii! Mwanamke Elgiva Winyaeli Munisi ‘Manka’, mkazi wa Kijitonyama, Dar, amejikuta katika wakati mgumu baada ya mumewe, Alpha kudaiwa kuzinasa picha za utupu akiwa na mchepuko uliofahamika kwa jina la Crama Lucas ambaye ni msanii wa Bongo Muvi, Ijumaa Wikienda lina filamu kamili.
Elgiva Winyaeli Munisi ‘Manka’ na mchepuko wake Crama Lucas ambaye ni msanii wa Bongo Muvi, wakipozi kimahaba.
Chanzo makini kimeliambia gazeti hili kwamba, awali, mwanaume huyo alizibamba…

No comments:
Post a Comment