MASHABIKI WAUMIZWA NA UJUMBE WA WEMA SEPETU KUWA HANA UWEZO WA KUSHIKA MIMBA

Mrembo Wema Sepetu.
MASIKITIKO! Baada ya mrembo Wema Sepetu kutupia ujumbe kupitia mtandao wa Instagram kuwa si kwamba hapendi kuzaa bali hana uwezo wa kufanya hivyo mashabiki wake wengi wameonekana kuumizwa na taarifa hiyo.
Wengi wa mashabiki wameonekana kumpa ple Wema na kumtia moyo kuwa ipo siku naye atapata mtoto na kuitwa mama.
Wema aliamua kuandika ujumbe huo baada ya kushambuliwa na baadhi ya mashabiki wasiomtakia mema alipompongeza mwanamitindo Hamisa Mobeto aliyejifungua hivi karibuni.
Hizi ni meseji za baadhi ya mashabiki…

No comments:

Post a Comment