DIAMOND PLATNUMZ: MBUNGE HALIMA MDEE NI MZIGO JIMBO LA KAWE
Msanii maarufu nchini mwenye mafanikio makubwa
katika sanaa ya mziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz, amevunja ukimya wake
juu ya ubovu wa barabara iendayo Madale ambayo ipo kwenye jimbo la Kawe chini ya
Halima Mdee.
No comments:
Post a Comment