NILIWAHI KUTOA MIMBA MOJA TU YA KANUMBA KWA VILE NILIKUWA MDOGO SANA, WANAO SEMA NIMETOA MIMBA NYINGI NI WAONGO
Anazungumzia ishu ya kupata mtoto
ndani ya EFM Radio Jana... Anasema watu wanaomsema hapati mimba kwa kuwa ametoa
sana mimba, ni uongo kwa kuwa ameshatoa mimba moja tu tena ya Kanumba na kwa
kuwa alikuwa mdogo.
No comments:
Post a Comment