GWAJIMA MBARONI, APELEKWA MAHAKAMA YA KISUTU DAR


Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Mchungaji Josephat Gwajima amekamatwa na Jeshi la Polisi na kwa sasa yupo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
Habari zaidi pamoja na picha kuhusu taarifa hizi zitawajia hivi…

No comments:

Post a Comment