HOFU YA BOMU YATIKISA CHUO KIKUU DAR


Waandishi Wetu

WAKATI hofu ya ugaidi wa Kundi la Al Shabaab la Somalia ikiwa bado imetanda kufuatia mauaji ya wanafunzi 146 wa Chuo Kikuu cha Garissa nchini Kenya, hisia za kuwepo kwa bomu imewakumba watu mbalimbali pamoja na wasomi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, baada ya kitu kilichodhaniwa kuwa bomu kukutwa katika kituo cha mabasi ya daladala kijulikanacho kama Kontena, kilichomo eneo la chuo hicho.
Kitu kilichodhaniwa kuwa ni bomu kikitolewa kwenye mfuko.
Tukio hilo lilitokea mchana wa Aprili 14, mwaka huu ambapo wanafunzi hao walionekana…

No comments:

Post a Comment