KADJA ANASWA AKIINGIA KWA SANGOMA


WAANDISHI WETU
MSANII wa muziki Bongo, Khadija Maige ‘Kadja Nito’ amenaswa na Mapaparazi wetu akiingia nyumbani kwa sangoma aliyefahamika kwa jina la Kimweri aliyewahi kuripotiwa kumng’arisha msanii mwenzake Menina Attick ‘Menina Ladiva’ kisanaa.
Msanii wa muziki Bongo, Khadija Maige ‘Kadja Nito’ akiwasili kwa sangoma huyo.
Chanzo chetu cha kuaminika kilichopo jirani na eneo hilo kilieleza kuwa kimekuwa kikimshuhudia msanii huyo akifika mahara hapo kufuata matibabu huku dhumuni likiwa ni kusaka umaarufu ili awe staa mkubwa…

No comments:

Post a Comment