Ndege aliyosafiri nayo Pacquiao ikiwa
uwanjani Philippines
Pambano kati ya Mfilipino Manny Pacquiao na
Mmarekani Floyd Mayweather linatarajia kufanyika tarehe May 2, 2015. LasVegas,
Nevada. Pambano hilo linatarajia kuingiza zaidi ya kiasi cha $300million.
Msafara wa Manny Pacquiao ukitoka Los
Angeles kwenda Las Vegas
Basi la kifahari lililombeba Pacquiao
lilisindikizwa na bikers kwenda Las Vegas
Instagram Selfie ya Pacquiao akiwa na
mashabiki wake ndani safarini kuelekea Las Vegas
Manny Pacuiao amekua akijifua na kocha wake
Freddie Roach, kwenye Freddie Roach Wild Card Gym huko Los Angeles, CA na baadae
kusafiri umbali wa maili 270 ndani ya basi lake kuelekea Las Vegas,
NV.
Twitter Selfie ya Manny Pacquiao na Mkewe
ndani ya basi kuelekea Las Vegas
Manny Pacquia na mwanae wa mwisho, Israel,
waliwasili katika hoteli ya Mandalay
Bay tayari kujifua mara ya mwisho kabla ya mpambano huo.
Kwa
picha zaidi bofya SOMA ZAIDI
No comments:
Post a Comment