MKE ACHINJWA KISA KWENDA SALUNI


Stori: Dege Masoli, Tanga
HII ni zaidi ya ukatili! Jiji la Tanga bado linazizima kufuatia mauaji ya kutisha yanayodaiwa kufanywa na mwanaume aitwaye Khalfan Hamad (46), dhidi ya mkewe, Mary Lucas (20) kwa kumchinja na panga kisa kikidaiwa ni wivu wa mapenzi, Uwazi lina mkasa mzima.
Enzi za uhai wake, Mary Lucas (20) anaedaiwa kuchinjwa na mumewe.
Tukio hilo lililoacha simulizi ya kushangaza miongoni mwa wanandoa na wanaotarajia kuingia, lilijiri Aprili 18, mwaka huu nyumbani kwa mwanaume huyo, Mtaa wa Mapinduzi ‘A’ Kata ya Duga jijini…

No comments:

Post a Comment