MASOGANGE ATIMULIWA SAUZ!


Sifael Paul na Imelda Mtema

HABARI ikufikie kuwa muuza nyago wa video za wasanii wa Bongo Fleva (video queen), Agness Gerald ‘Masogange’ anadaiwa kutimuliwa nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’ na sasa amekuwa akionekana Bongo akirandaranda mitaani.
Muuza nyago wa video za wasanii wa Bongo Fleva (video queen), Agness Gerald ‘Masogange’.
TUJIUNGE JOHANNESBURG

Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho Masogange ni rafiki yake aliyeko maeneo ya Midland jijini Johannesburg, Sauzi, staa huyo alitimuliwa na mwenye nyumba baada ya kodi ya pango kwisha na kutakiwa kulipa…

No comments:

Post a Comment