MWANAMKE ARUKA UKUTA, AIBA MASHUKA NA DEKI

Dunstan Shekidele

Mwanamke aliyefahamika kwa jina la Asha Saidi, hivi karibuni alikiona cha moto baada ya kufumwa akiiba mashuka na deki kwenye nyumba ya jirani yake.Tukio hilo lilitokea mtaa wa Mawenzi ambao mama huyu anaishi, inadawa aliruka ukuta na kukutwa na mama mwenye nyumba anayeitwa Zainabu akifanya uhalifu huo.
Asha Saidi akiwa na Deki aliyodaiwa kuiiba.
Ilidaiwa kuwa baada ya Zainabu kushuhudia tukio hili alipiga kelele za mwizi ndipo watu walipojitokeza na kumtaiti.Hata hivyo, wakati mwanamke huyo akiwa chini ya ulinzi wa raia, polisi…

No comments:

Post a Comment